NAFASI ZA MASOMO NURSING & MIDWIFERY: CLINICAL MEDICINE : PHARMACY : SOCIAL WORK 2023.2024

NAFASI ZA MASOMO NURSING & MIDWIFERY: CLINICAL MEDICINE : PHARMACY : SOCIAL WORK 2023.2024

Jaza fomu kwa njia ya mtandao. Chagua Ndolage Institute of Health Sciences kozi moja kati ya Nursing and midwifery, Clinical medicine, Pharmacy na Ustawi wa Jamii kulingana na ufaulu wako katika mtihani wa kidato cha nne. Ada ya kutuma maombi ni Tshs. 10,000/= tu. Ukichagua Ndolage umejihakikishia kupata nafasi katika taasisi bora yenye walimu, vifaa vya kufundishia vya kisasa na hospitali ya mazoezi ya uhakika inayopatikana ndani ya mazingira ya chuo.

Kwa mawasiliano na msaada kabla na wakati wa kutuma maombi kwa haraka zaidi piga simu 0755251037 

Bofya hapa Kutuma maombi yako

 

6 Replies to “NAFASI ZA MASOMO NURSING & MIDWIFERY: CLINICAL MEDICINE : PHARMACY : SOCIAL WORK 2023.2024”

  1. naomba mnisaidie form ya mahitaji ya kujiunga na chuo cha nersing ndolage nimehitimu mwaka 2021 shule ya bukoba hope luthelani nina chemisty c biology c math d na phisy d nisaidie .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *