How to Apply

Jaza fomu kwa njia ya mtandao. Chagua Ndolage Institute of Health Sciences kozi moja kati ya Nursing and midwifery, Clinical medicine, Pharmacy na Ustawi wa Jamii kulingana na ufaulu wako katika mtihani wa kidato cha nne. Ada ya kutuma maombi ni Tshs. 10,000/= tu. Ukichagua Ndolage umejihakikishia kupata nafasi katika taasisi bora yenye walimu, vifaa vya kufundishia vya kisasa na hospitali ya mazoezi ya uhakika inayopatikana ndani ya mazingira ya chuo.

Kwa mawasiliano na msaada kabla na wakati wa kutuma maombi kwa haraka zaidi piga simu 0755251037 

Bofya hapa kutuma maombi yako